Saturday, 10 January 2009

Chuma Machungwa kwenye Mchungwa-Profesa. Shao



Mara nyingi VC wa Tumaini, Prof Shao amekuwa akiwaasa wanatumaini kuchuma machungwa kwenye michungwa. Wanatumaini Gondwin Gondwe (Kushoto, anaye-shake na Berege) na Lucy Nyaki wametekeleza ushauri huo walipoamua kuanzisha familia.

1 comment:

Kelvin Blak said...

demu mbona naficha uso?kama vile alikuwa demu wa mshikaji udsm - ila ndio maisha unakula unaachia na wengine