Saturday, 10 January 2009

Wewe sasa Mzee wa Morogoro


Mzee Sales Berege (Late) akimkabidhi fimbo Waziri Mkuu Fredrick Sumaye (Wakati huo) kama ishara ya kumtawaza kuwa mmoja wa wazee wa mkoa huo. Wanaoshuhudia ni RC Morogoro Mussa Nkhangaa (wakati huo), Mbunge wa Mvomero, Sadiq Murad na wadau wengine.

No comments: