Sunday, 25 January 2009

Mijadala ya kitaaluma

Furaha na vicheko vya makada

Ufunguzi wa ofisi ya tawi

Makada wa CCM wakijadili jambo muda mfupi baada ya mjumbe wa kamati kuu ya CCM ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda kuizindua rasmi ofisi ya tawi la Tumaini la CCM iliyopo eneo la Semtema.

Shughuli za Ki-CCM

Pilika pilika za kikada CCM

Dk. Migiro ndani ya studio


Godwin Gondwe (Double G) akitoa maelezo kwa Waziri Dk. Asha Migiro (wakati huo 2005) namna studio ya mazoezi ya IUCo inavyofanya kazi.

Dk. Migiro alipotembelea IUCo