Sunday, 25 January 2009

Ufunguzi wa ofisi ya tawi

Makada wa CCM wakijadili jambo muda mfupi baada ya mjumbe wa kamati kuu ya CCM ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda kuizindua rasmi ofisi ya tawi la Tumaini la CCM iliyopo eneo la Semtema.

No comments: