
Jaji Mstaafu Reymond Mwaikasu akifungua kikao cha Chama cha Wanataaluma Tanzania ( Tanzania Professionals Forum) katika ukumbi wa chuo kikuu cha Ruaha Iringa kilichofanyika mwishoni mwa mwaka 2008. Wajumbe walichagua viongozi wa Muda ambao ni . Rtd Judge Raymond Mwaikasu (Mwenyekiti), Prof. Donatus Komba (Makamu mwenyekiti,Simon S. Berege (Katibu Mkuu-Pichani kulia kwa Jaji Mwaikasu), Wilson M. Ntulo (Naibu Katibu Mkuu, Dk. Bukaza Chachage (Katibu Mwenezi, Ildefons M. Chonya (Mhazini).